Africa Kids Book Club

APRIL KID’S ESSAY(1) – THE DAY EVERYTHING WENT WRONG

THE DAY EVERYTHING WENT WRONG I was just in the kitchen on an early Saturday morning and was eating a bowl of cornflakes with milk. Suddenly, my cat jumped on the table and knocked my cereal on my lap. The milk went all over my clothes. To make matters worse, I was going to the […]

MARCH KID’S ESSAY(3)- NDOTO NILIYOKUWA NAYO

NDOTO NILIYOKUWA NAYO   Nilipokuwa mtoto, nilitamani kuenda Mombasa. Usiku moja,nilikuwa na ndoto. Kwa ndoto hiyo nilikuwa melini na ilikuwa ikienda Mombasa. Mama mrembo alikuja na alinipa kitu cha kula na kunywa. Tulipofika Mombasa,nilitoka Kwa meli,nilipata rafiki yangu huko Mombasa. Aliitwa Erica. Tulingia kwa gari na kupelekwa kwa hoteli. Tulipofika hotelini,tuliweka vitu vyetu chini na […]

MARCH KID’S ESSAY(2) -WEMA HAUOZI

WEMA HAUOZI Wema ni haki ya kuwasaidia watu na majirani. Kamakumsaidia mgonjwa hospitalini au kumwelezea mwanafunzi majibu,yaonyesha kuwa na wema hupeleka mtu mbali maishani.  Babu na nyanya yetu hutueleza kwamba ukiwa na wema hutapatana na shinda. Msemo huu una ukweli. Mfano,kuna mwanafunzi mmoja katika darasa letu, jina lake ni Juma ana umri wa miaka kumi […]

MARCH KID’S ESSAY(1) – SAFARI NDOTONI

SAFARI NDOTONI Ilikuwa siku ya ijumaa, tulienda kulala saa saba ya usiku. Nilijitaiyarisha kuingia kwa kitanda halafu mama alinitakia ndoto njema na nikamjibu,“yamafanikio.” Nilianza kuota nikiwa katika ndege. Hilo ndege lilikuwa na watu wengi sana. Walikuwa wanakula chakula na wengine walikuwa wanaongea. Tulishuka katika ndege na kuelekea kwa hoteli. Ilikuwa kubwa sana. Nikitembea niliona meli na […]

FEBRUARY KID’S ESSAY(2)-WEMA HAUOZI

WEMA HAUOZI Nilikuwa natembea barabarani nikielekea mahojiano ya kuingia chuo kikuu cha wanafunzi wa fomula moja,nikakutana na mzee aliyehitaji usaidizi wangu kutengeneza gari lake. Mimi kuwa nimesomea uhandisi wa mitambo,nikaamua kumsaidia mzee huyo. ‘Shikamoo mzee, unaonekana unahitaji usaidizi kutengeneza gari lako?” nikamuuliza. “Marahaba mwanangu, Ndio! Tafadhali nisaidie kutengeneza gari langu.Nimechelewa kuwahoji wanafunzi wangu.” Mzee akajibu. […]

FEBRUARY KID’S ESSAY – NDOTO YANGU

NDOTO YANGU Ilikuwa usiku na nilikuwa tayari kulala. Nilipiga mswaki na kuelekea kwenye chumba cha kulala. Mama alinifunika na kusema, “lala unono mwanagu”. Nilifunga macho na nikasinzia. Nilianza kuota nikiwa na ndugu na marafiki wangu tukicheza mpira wa miguu. Tulikuwa tumefunga mabao mawili kwa nunge.  Wakati tuilipomaliza tuliona tumeitwa na  mama yangu. Tulipofika nyumbani tulipata […]

DECEMBER BLOG – THE IMPACT OF A READING CULTURE IN CHILDREN

THE IMPACT OF A READING CULTURE IN CHILDREN. When children read books, they acquire knowledge from the stories they have read.  This year, the kids in our book club have read and discussed one book each month, totaling to eleven books. These books have presented different stories with a variety of themes, characters and plots. […]